Mwalimu online ni App inayokupa masomo ya neno la Mungu kila Asubuhi. Masomo haya huandaliwa na Ufunuo Publishing House na Mwalimu online huyasambaza ili yaweze kuwafikia mamilioni ambao hawawezi kuupata ujumbe huu kupitia vitabu vya kesha la Asubuhi. Soma na tafakari kesha la Asubuhi na jinyenyekeze ili kuyajua mapenzi ya Mungu maishani mwako.
Mwalimu online pia huandaa vipindi vya kujenga tumaini na kukua kiroho kama neno la uzima na mtoto wa mfalme kwa njia ya video
Soma neno ukue kiroho.